Hali Nchini Syria
IQNA – Kinara wa kundi la Hay’at Tahrir al-Sham (HTS), ambalo limenyakua Madaraka Syria, ameripotiwa kutoa maagizo juu ya kulinda Haram Tukufu ya Baibi Zainab (SA) karibu na mju mkuu Damascus.
Habari ID: 3479939 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/22
TEHRAN (IQNA)- Bibi Zainab SA alizaliwa 5 Jamadi Ula mwaka wa 5 Hijria Qamaria mjini Madina na wazazi wake ni Imam Ali AS na Bibi Fatima Zahra SA.
Habari ID: 3474933 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/16
TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Syria imemfungua tena Haram Takatifu ya Bibi Zainab (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake -SA-) katika kiunga cha mji mkuu, Damascus, miezi miwili baada ya kufungwa.
Habari ID: 3472813 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/29
Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wametekeleza hujuma ya bomu na kuua watu 20 karibu na Haram ya Bibi Zainab SA katika viungo vya mji mkuu wa Syria, Damscus.
Habari ID: 3470376 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11